KYC & Verification Guide
Fahamu nyaraka zinazohitajika na jinsi ya kukamilisha uhakiki wa akaunti yako (KYC) ili uweze kutumia huduma zote za Bima Kwik.
1 Kitambulisho (Identity Document)
Utahitaji kupakia picha ya kitambulisho chako cha NIDA, Pasipoti, au Leseni ya udereva iliyo hai.
2 Selfie Verification
Mfumo unaweza kukuomba upige picha ya uso wako (Selfie) ili kuhakikisha kuwa wewe ndiye mmiliki halali wa kitambulisho kilichowasilishwa.
3 Uhakiki (Approval)
Baada ya kutuma, timu yetu itapitia taarifa zako ndani ya muda mfupi. Ukishapata alama ya 'Verified', utakuwa huru kufanya miamala yote.
Muhimu: Hakikisha picha za nyaraka zako ni za rangi na maandishi yanaonekana vizuri bila mwanga mkali (glare).