Policy Management
Jifunze jinsi ya kusimamia bima zako, kuhuisha (renew) na kufuatilia hali ya bima yako kupitia dashboard ya Bima Kwik.
1 Dashboard Overview
Ukishaingia kwenye mfumo, utaona muhtasari wa bima zako zote zilizo hai (Active) na zinazoelekea kuisha muda wake.
2 Renewing a Policy
Ili kuhuisha bima, bonyeza kitufe cha 'Renew' pembeni ya bima husika. Hakiki maelezo yako na fanya malipo kwa urahisi.
3 Updating Information
Unaweza kubadilisha taarifa zako kama namba ya simu, anuani, au kuongeza wanufaika (beneficiaries) wakati wowote kupitia sehemu ya 'Profile Settings'.
Kidokezo: Unashauriwa kuhuisha bima yako angalau siku 7 kabla ya kuisha ili kuepuka usumbufu.